Thursday, November 10, 2011

YESU AMETUPATIA MTOTO




Bi Lidya Ngusi na Mumewe walifika Katika kituo cha Overcomers Fm kutoa ushuhuda baada ya kupokea muujiza wa mtoto wa kiume kutokana na huduma ya maombi inayofanywa na Askofu Boaz Sollo katika kipindi cha asubuhi kiitwacho anza na Bwana.
Wazazi hao wameamua kumuita mtoto wao kwa jina la Boaz wakiomba naye aje kuwa Mhubiri mkubwa kama alivyo Askofu Boaz Sollo.

No comments:

Post a Comment